top of page

Huduma Zetu

 

 

Tunawezesha mradi au biashara yako.

MAFANIKIO YAKO

 

 

Huduma zetu zinazingatia zaidi matarajio na mambo muhimu ya wateja wetu.

​

Tunatumia mikakati, elimu ya soko na teknolojia katika fani zote na maeneo yote. Wakati tukifanikisha hali nzuri ya kiutendaji, wakati huohuo tunafanya kazi kwa mategemeo ya kupata matokeo mazuri. Tunafurahia tunachokifanya na zaidi, tunapenda kuona mafanikio ya wateja wetu.

UFUMBUZI
 

Asante Sana Consulting ni washauri mahsusi katika fani hii. Tuna wataalamu waliobobea ambao watakupa huduma bora kuhusu mradi au biashara yako katika sehemu husika. 

​

  • Tunatoa huduma za ushauri na kuwezesha shughuli mbalimbali kwa makampuni, mashirika na hata kwa watu binafsi.

 

  • Tunatoa ushauri na miongozo kuhusu masuala ya kiutamaduni, mila na pia kufundisha lugha za Kiswahili na Kifini.

 

  • Tunatoa huduma za kitaalamu za kutafsirimaongezi, maandishi na nyaraka mbalimbali. 

MIKAKATI
 

Kwa kushirikiana na mteja, pamoja tunlapanga mikakati bora kufikia matokeo mahsusi ambayo mteja nayatarajia ili kupata ukuaji endelevu wa miradi au biashara.

 

Tunafanya kazi kwa ushirikiano makini pamoja na mteja kwa kutumia mbinu bora zaidi katika biashara au mradi wako nchini Tanzania ua Finland.

Shusha kipeperushi
bottom of page